Breaking News

Faraja Hannington - WINGU

 
Click here to DOWNLOAD
Kutoka jijini DODOMA, Udom. leo nimekusogezea wimbo mzuri uitwao Wingu kutoka kwa mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Faraja Hannington akiwa ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma. Muziki huu umetayaarishwa na mikono ya prodyuza Sam kutoka ndani ya studio za Saz Records.
Machache kutoka kwa mtunzi;
“WINGU ni wimbo uliobeba nguvu ya matumaini baada ya baraka na mkono wa Mungu kuwa katikati ya maisha mtu ambaye alikuwa amekata tamaa. Tunahitaji Wingu la Mungu kukaa juu yetu ili kupata nguvu katika maisha yetu.”

Kwa mawasiliano na Faraja Hannington:
Simu/WhatsApp: +255 673 393 575
Facebook: Faraja Hannington
Instagram: @farajahannington
Twittter: @farajahannington

Nyimbo inapatikana kwenye tovuti ya GOSPOMEDIA
Click link ya juu itakupeleka moja kwa moja, Barikiwa.

No comments