Breaking News

Ziggy Justine - CHARITY



Ni mwisho wa mwezi huu wa tano,
karibu tujumuike wote kwenye hii
siku maalumu ya kuwafariji watoto
Yatima, waishio katika mazingira
magumu pamoja na watoto wenye
virusi vya ukimwi, jijini Dodoma katika
kituo cha KIJIJI CHA MATUMAINI (Kisasa)

Kwa maelezo zaidi, tucheck kupitia
+255 652 592 999 / +255 652 429 897

-Make a smile to a needy face, Welcome!!!

No comments