Estizle - STAR RED WINE
Star Red Wine waanda sherehe ya uzinduzi wa wa kinywaji chetu pendwa, tukio lafanyika Collage of Social Science and Humanity, kipande cha Carnival muda huu, Special performance kutoka kwa Africana na wasanii wengine ndani na nje ya chuo cha Udom.
Kwenye ubao kuna MUSIC PERFORMANCE | INTERVIEW AND RED CARPET.


No comments