The Icon - HOPE
Nyimbo ya HOPE, iliyoimbwa na wanamuziki watano kutoka Udom yafanya vizuri ndani na nje ya Chuo, Udomtweets tulifanikiwa kuongea na Asst Manager wa kundi la THE ICON amesema kuwa ni jambo la kujivunia sana nyimbo yao kuwa trended kwenye mitandao ya kijamii na kuongezeka viewers siku hadi siku, na kuahidi endapo watafikisha viewers 500 ndani ya hii week wataachia tena kibao kingine kwa kuwapa zawadi mashabiki wao na wapenzi wa muziki mzuri.
Kusikiliza na kupakua nyimbo ya HOPE iliyoimbwa na wanamuziki
hao mashuhuli, bonyeza link chini. usisahau kuSUBSCRIBE channel
HOPE - theiCon360
Kusikiliza na kupakua nyimbo ya HOPE iliyoimbwa na wanamuziki
hao mashuhuli, bonyeza link chini. usisahau kuSUBSCRIBE channel
HOPE - theiCon360

No comments